asante sana chief-Mkwawa, kwa kuniwezesha kuchakachua tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

asante sana chief-Mkwawa, kwa kuniwezesha kuchakachua tigo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by dubu, Feb 7, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mkuu asante sana kwa kunifumbua macho. tangia uweke ile thread yako jmos usiku hadi leo natumia internet bure kwenye simu kupitia tigo.
  Nilichofanya kwenye setting za internet;
  :proxy: niliweka enabled
  :proxy address: nikaweka 066.135.050.150
  :port: niliweka 80.
  Halafu nikadownload opera mini 4.4.
  so nikiingia opera mini nakula mzigo bure bure. nikiweka lini ya voda nakula mzigo bure. asante sana chief asante sana jf. ova.
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi si umeshaharibu kwa kuweka wazi baadhi ya mambo?
   
 3. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  sijaharibu bali nmeongea ukweli. nia yangu tufaidi wote na tukose wote. one for all, all for one.
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Line yako ya Tigo ina shilling ngapi? na iyo opera min umeidownload wapi? Naomba link. Pia umejaribu line ngap ya Tigo na zote zikawa bure?
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sina hoja nyingine hapo.
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo unafuraha kubwa baada ya kuchakachua tigo, naona tigo ni nzuri kweli ukifanikiwa kuchakachua.
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  nimetumia tigo, voda na airtel. tigo ina tsh4, voda 850 na zote ni bure kabisa hukatwi hata shilling.. ila jana tigo walibana kama lisaa limoja wakaachia.- Opera Mini & Opera Mobile browsers .
   
 8. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Hata mimi pia eebana chief mtu wa watu ubalikiwe sana
   
 9. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Some people bana.
   
 10. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sisi wenye LG KP 500 2napata shida sana kwangu imegoma help
   
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wakuu kuna aliyeweza kumenej torrent download kwa hii internet ya voda ya ma proxy??/ help help !!!!
   
 12. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ahsante sana kwa kutupa taarifa kijana,subiri kama utapata tena cha bure kuanzia kesho!
   
 13. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mkuu bado nalamba kama kawa..wiki ya pili sasa. yuhuuuu....!!
   
 14. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,648
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Hembu 2pia hapa maujanja ya kusaidia katika kanokia kangu ka tochi N70
   
Loading...