Msaada kuhusu internet browser...

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Ninatumia google chrome na internet explorer. Nimeongeza safari na opera, lakini ninapojaribu kuzitumia(opera na safari), zinashindwa kuunganisha mtandao na zineleta sms kwamba an error has ocurred.Nimejaribu ku-uninstal na ku-reinstal bado zinakataa. Je,linaweza kuwa tatizo gani? Google chrome na explorer zinafanya vizuri.
 
Naomba nikuulize kabla sijakujibu.

Unatumia Operating system ipi?

Hizo browsers ulizo-install zinaendana na computer yako?

Ni vizuri ukaandika kila browser ni version gani.

Una sababu ya kutumia zaidi ya browser 2 au ukipata itayokidhi mahitaji yako nyingine hutozitumia?

Mozilla Firefox na Google Chrome ndio zinaongoza kutumiwa.

[h=2]Browser Statistics Month by Month[/h]
2012Internet ExplorerFirefoxChromeSafariOpera
January20.1 %37.1 %35.3 %4.3 %2.4 %
2011Internet ExplorerFirefoxChromeSafariOpera
December20.2 %37.7 %34.6 %4.2 %2.5 %
November21.2 %38.1 %33.4 %4.2 %2.4 %
October21.7 %38.7 %32.3 %4.2 %2.4 %

Source: w3schools
 
Ninatumia Ms Windows XP. Safari version ni 5.34.52.7. Nimejaribu Mozilla firefox 7.0.1 inaleta ujumbe huu ninapojaribu kuunganisha:- "The proxy server is refusing connections"
 
Ninatumia Ms Windows XP. Safari version ni 5.34.52.7. Nimejaribu Mozilla firefox 7.0.1 inaleta ujumbe huu ninapojaribu kuunganisha:- "The proxy server is refusing connections"
Ok. fungua firefox

Nenda kwenye Tools>> Options

Chagua tab ya Network click Settings>> chagua Auto-detect proxy settings for this network

Click Ok.

Funga browser yako ifungue tena ujaribu
 
Ok. fungua firefox

Nenda kwenye Tools>> Options

Chagua tab ya Network click Settings>> chagua Auto-detect proxy settings for this network

Click Ok.

Funga browser yako ifungue tena ujaribu

Ninashukuru sana mkuu kwa elimu uliyonipa kwani imefanikisha. Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom