Breaking News! Tigo na Voda ndiyo mitandao mibovu maeneo ya Kigoma.

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
48,936
54,157
Hbr wana Jf popote mlipo! Tangu jana hii mitandao miwili imewaweka watu ktk wakati mgumu sana. Maana unaweza kupokea simu kwa muda mchache baada ya hapo hali inakuwa ngumu kana kwamba huna salio. Nimekuwa najiuliza ni ndani ya Mkoa huu lakini kuna jamaa yupo Mtwara nae anadai hali ni tete. Wakuu ni sehemu hizi tu nilizotaja au ni Nchi nzima pia kama kuna mwenye kujua kulikoni ndani ya mitandao hii atujuze. Natanguliza shukrani kwa wana jf wote,week end njema.
 
Hata Mwanza hali imekuwa ni tete tangu jana saa tisa mpaka leo saa tano ndio mawasiliano hususan tigo yamerejea. Ni bora kuwa na Airtel. Halafu mbaya zaidi, hawajatuomba wateja MSAMAHA wala kutangaza kwenye media juu hitilafu walizonazo kwa wateja wa mikoa husika.
Shame on you Tigo.
 
Wameshindwa hata kutoa taarifa,nadhani kazi ni kuhamia Airtel. Haya makampuni nadhani yamezeeka kbs.
 
hivi ni sheria kumiliki simu na kua tigo? Tupo katika zama za ubepari ni choice yako kuwa na mtandao unaoupenda so kama tigo inazingua hamaaaaaa. So mnatupigia kelele humu
 
Mtandao wa tigo hamna ki2 kabisa,huku Maswa toka juzi hadi hii leo mida hii mtandao wa tigo haukamati kabisa,hawa jamaa hawafai kabisa.
 
Back
Top Bottom