Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MSUNZU, Feb 10, 2012.

 1. M

  MSUNZU Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf nauliza haiwezekani kuongeza nguvu dishi la futi 6 liweze kukamata kama la futi 8
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Funga LMB mbili.....
   
 3. M

  MSUNZU Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa sasa napata tbc1.na channel ten.nifanyeje nipate eatv,itv. Kupitia dish la futi 6 tafadhali naomba umnijulishe niko mombasa,Kenya.
   
 4. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Dishi la futi sita haliwezi kufikia dishi la futi nane bali unaweza ukaliongezea nguvu kwa kupata signal kubwa kwa kubadilisha LNB, LNB za C band zipo za aina mbili
  kuna C band single solution na C band ya kawaida C band single solution inanguvu kubwa ya kuongeza signal kuliko C band ya kawaida


  C Band Single Solution Cable!!

  dish n single.jpg


  Hii ni kwa wale wanaokaa sehemu zenye shida kupatikana Signal,kama mabondeni,karibu na minara ama wamezungukwa na mitambo mitambo watu wa mkowani
  C band hii hutumika kwenye Dish ya C band tu ijapokuwa kuna KU ambazo zinahimili interference pia kama ilivyo hii isipokuwa mara nyingi KU hata kwenye interference inakama Signal vizuri!!
  Tazama tofauti yake kimuonekano:

  single.jpg

  Hii ni C Band Single Solution Cable


  cband.jpg


  Hii ni C Band ya kawaida
  Pia katika uingizaji wa freeguency kuna tofauti kati ya c band ya kawaida na c band single solution!!
  Ambapo kwa single solution unatoa 600 za upande mmoja.
  Mf: frequency ya ITV,EATV,CAPITAL-F3642 S8545V (F3042 S8545V),hivyo za V zote unatoa 600 isipokuwa za H hutoi!!!

  tofauti single solution ina kichwa kikubwa kuliko LNB ya kawaika
   
 5. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Fatma, inaonekana wewe mkali ya haya mavituzi. Kama ni hivyo tuwasiliane ili unisaidie LNB zangu zinazungua sana. Asante.
   
 6. M

  MSUNZU Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru sana da fatma kwa mchango wako nitaufatilia. Once again thanx.
   
 7. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  senki yuu
   
 8. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Attachment 47112

  Hii ni C Band Single Solution Cable


  uzuri wa hii single solution mnaweza kutumia hata nyumba mbili kwa LNB moja na kila mtu akatazama channel anayoitaka haina cha mambo ya verical wala horizontal ile ya kawaida mwenzako akitazama channel za vertical na wewe mpaka uweke channel za vertical
  lakini hii ya single solution mwenzako akitazama ITV wewe unaweza ukaweka TBC au star tv
   
 9. M

  MSUNZU Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shukran da fatma kwa msaada wako.
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Thanks eng FB
   
Loading...