dfreym
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 342
- 87
Ninatumia windows 7 32 bit, nimepata AE cs5.5, tatizo ni 64 bit, kuna mtu anaweza kunisaidia nifanyeje ili iweze kuwa installed katika 32 bit yangu? Kama haiwezekani, ntaipata ya 32 bit? Kama haipo, kuna windows 7 64 bit? Je, nikiipata itaweza kuinstall program zote za kawaida ikiwemo na AE cs 5.5 64bit? Msaada pleese.