Wadau anaejua jinsi ya kufanya muvi uiangalie huku ikionyesha sub-title ashushe darasa maana wengine kizungu tunaokoteza bila sub-title hakuna mzuka..kama vipi maujanja yanahitajika..
Subtitles - download DivX subtitles from the biggest open subtitles databaseWadau anaejua jinsi ya kufanya muvi uiangalie huku ikionyesha sub-title ashushe darasa maana wengine kizungu tunaokoteza bila sub-title hakuna mzuka..kama vipi maujanja yanahitajika..
kuna tovuti zinaweka subtitle za movie nyingi. 1. Nenda google tafuta subtitle ya muvi unayotaka kisha download. Itakuwa in .srt format au otha acceptable format 2. Fungua movie yako kwa kutumia media player like VLC au MEDIA PLAYER CLASSIC. 3. Drag n drop subtitle kwenye movie. Na itaanza kudisplay maneno huku muvi inaendelea
kaka nimejaribu jinsi ulivyonielekeza nimedowload nikapata folder ambalo ndani yake kuna file lenye format ya SRT lakini nilipoli-drug kwenye muvi ,,ikastop yhen nothing happened,,,natumia VLC,, naomba msaada zaidi
Subtitles files
While modern file formats like Matroska or OGM can handle subtitles directly, older formats like AVI can't. Therefore, a number of subtitles files formats have been created. You need two files: the video file and the subtitles files that only contains the text of the subtitles and timestamps.
VLC can handle these types of subtitles files:
To open a subtitles file, use the Advanced Open dialog box (Menu File, Open file). Select your file by clicking on the Browse button. Then, check the Subtitle options checkbox and click on the Settings button.
- MicroDVD
- SubRIP
- SubViewer
- SSA
- Sami
- Vobsub (this one is quite special: it is not made from text but from images, which means that you can't change the fonts)
You can then select the subtitles file by clicking the Browse button. You can also set a few options like character encoding, alignment and size.
An alternative is loading subtitles from the Subtitles Track menu item under the Video tab.
Note: For Vobsub subtitles, you need to select the .idx file, not the .sub file. Encoding, alignment and size won't have any effect for Vobsub subtitles.
Font can be changed as explained in the previous section.
Nimefuata process zote ulizonielekeza lakini bado chenga hakuna kitu,,Nataka subtitle ya muvi ya A Dangerous Man,,nimesearch according to site ulotoa hapo juu,,nimeipata ,,format yake ni SubRip,,nimei-download folder lake nikaliweka kwenye deskop,,ukilifungua mule ndani limeandikwa movie.eng...nikaenda kuplay muvi hiyo kwa VLC then nikafungua hilo folder nikadrug kwenye hiyo muvi lakini bado haionyeshiKaka site nzuri ya subtitles ni
Subtitles. Unaandika jina la movie yako unachagua na Language. Ukisha idownload iweke kwenye folder lenye hiyo movie kisha ipe jina sawa na la movie. Uki play kwa VLC ita load na kucheza automatically. Mimi natumia sana taknic hii...just copy jina la Movie then paste kwenye jina la subtitle
Mkuu maranyingi hizi subtitle zinakuwa compressed so baada ya kudownload you need to extract it kwa kutumia WinRaR au 7-Zip.Nimefuata process zote ulizonielekeza lakini bado chenga hakuna kitu,,Nataka subtitle ya muvi ya A DangerousMan,,nimesearch according to site ulotoa hapo juu,,nimeipata ,,format yake ni SubRip,,nimei-download folder lake nikaliweka kwenye deskop,,ukilifungua mule ndani limeandikwa movie.eng...nikaenda kuplay muvi hiyo kwa VLC then nikafungua hilo folder nikadrug kwenye hiyo muvi lakini bado haionyeshi
Vipi kuna kaprocess nimekosea au??? msaada zaidi