msaada wa jinsi ya ku connect blackberry na compyuter

Kapax

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
215
21
jaman naomba msaada wajinsi ya ku connect blackberry na compyuter na jinsi ya ku2mia wire less yake:lol:
 
Mkuu unatakiwa kudownload na kuinstall Blackberry Desktop Software kwenye computer yako kisha kwa kutumia usb cable utaweza kuconnect BB yako na Pc
Kuhusu WiFi inategemea aina ya BB yako vinginevyo jaribu ku google
Ingependeza zaidi ungetaja na model ya BB yako
 
Back
Top Bottom