Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nilinunua USB Flash Disk ya GB 8 mwezi uliopita, nimekuwa naitumia kuwekea file za muhimu sana. Leo nimejaribu kuifungua nifanyie kazi mafaili yangu, imeshindwa kufunguka automatically, nimejaribu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imeandikwa na mwananchi la leo soma hapa Raymond Kaminyoge LUNINGA au televisheni za teknolojia ya analojia zenye `matumbo' hazitafanya kazi kuanzia Januari Mosi, 2013 hadi ziunganishwe na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wanajamvi na shida na kutumia opera mini kwenye simu yangu ninaandika domain name vzur nikiload inaandika check date settng au ur internet prvder nimechange tarehe lakn haifai.anaeyejua hii makitu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni simu kama ya mezani IMEI: 2151060527W0720
0 Reactions
0 Replies
944 Views
HIVI wadau ngoja tudiscuss kuhusu virus na operting system za microsoft, toka nimenaza kuzijua tokea window 95,98,2002,xp na sasa window 7 na hivi punde itatoka window 8 zote...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau, Bro wangu kanipa sim yake aina ya T-Mobile baada ya kuona kuwa imemzingua. Simu ni tachi skreeni. Icon zote za upanda wa kushoto hazi respondi, yy anadai kuwa aliiweka karibia na Tv yake...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Nahitaji kununua smart phone ambayo haizidi laki tano. Unanishauri ninunue ipi?
0 Reactions
24 Replies
18K Views
Msaada wa wakuu program ya kucheza games za playstation kwenye Computer.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
wadau i knw there is a a way of listening radio on the computer plz kama kuna mtu anaijua hiyo software ambayo itakufanya usikilize radio anieleze plz au kama kuna njia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana Jf naomba frq za ETV pamoja na code zake natumia Mediacom 950+new,nilikuwa nayo mwanzoni lkn ilikuja potea baadae
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanajamii. Mi natumia simu(nokia 5800) ku access internate. Tangu juzi yahoo mail hafunguki, ila vitu vingine kama jamii forums, facebook n.k napata kama kawaida. Nisaidieni mawazo jinsi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hello gamers, nimependa saana hii, watch or download it, i mean it, i really reccomend it!!! its very good, especially to people who are addited to video gaming!! Iam actually one of the guy who...
2 Reactions
0 Replies
979 Views
dear friends i once have a trick of downloading torrents files using idm and is as follows;kwanza kabisa open an account freely katika www.torrific.com then download torrent and save it any where...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi fundi solar ila napatashida kujua ni solar ipi inafaa kwenye kazi furani,na betri yake na c/control,pia napenda kuja kampuni ni ipi nzuri hasa solar
0 Reactions
4 Replies
4K Views
kama kuna mtu anajua unlock password au kuformat kabisa nokia 6500-1 msaada please
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ebana napenda kujua ka naweza kupata password za chanel, i.e s sport, chl e, dd movie. plz ka kuna mtu anajua ansaidie
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Mnaweza kunipa link na mimi nika dowenload,wakubwa
0 Reactions
3 Replies
3K Views
naomba kusaidiwa hivi airtel wamebadilisha namba zao? nimetuma neno internet kwenda 15444 lkn msg haiendi nikawa na mashaka kuwa labda wamebadisha. kama kuna namba mpya nisaidieni
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Na tatizo la kushindwa kusave video zangu nikishadownload youtube naishia kuziangalia tu sipati option ya kusave into my laptop.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu hebu dadafueni, ukitaka kiiona vizuri angalia youtube video ya T-pain ft wizkhalifa inaitwa 5 O'clock in morning
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…