Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

My USB thumb drive got infected by a trojan virus. All folders in the thumb drive had become shortcuts! From the properties, the shortcut folder is pointing to 0x29ACAAD1.exe file. Kaspersky...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NILIPOKUWA "NA SURF" NILIFANIKIWA KUKUTANA NA HUYU MHINDI WA MODEM By default, Huawei E220 can only support up to 3.6Mbps speed. In Malaysia, 3.6Mbps is the top speed that 3.5G broadband...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
KATIKA PITA PITA YANGU NILIKUTANA NA HUYU MHINDI Huawei modems comes with mobile partner default dashboard but it comes with outdated version here i am going to provide you latest version of...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Microsoft Word: Love it or hate it, practically everyone uses it. I've been using it so long, I thought I knew everything about it. But I stumbled across some super helpful shortcuts — hidden...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Facebook imepotea ghafla kutoka kwenye net, Je hii ndiyo ile iliyosemwa facebook itapotea ghafla?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Daa duka la simu huko Australia yani kama voda shop hivi lakini linauza ipad 3 ndo limekuwa kati ya kwanza kuiiuza na wakaitengenezea na keki babu kubwa ya meta moja habari yote hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, me tatizo langu ni kuwa kila napotumia internet ya wireless pc yangu inakua nzito sana, i mean inakua kama ina-stuck, yan hata ukifungua program zingine zinakua zinafnguka kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu nyingi kwenu wana JF, Hii post ni kwa wale wenzangu wanaopenda kucheza game za mpira wa miguu..sasa hivi Fifa12 ndo kiboko yao na upatikanaji wake umekuwa mgumu sana..Mimi nipo hapa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nashindwa browse youtube kabsaa nadhani ISP kaibania naombeni msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo ili niweze browse vitu mbalimbali katika hii website.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujulishwa kwasabu mi sijawahi kupata Evdo inayoonekana kuwa na kasi zaid?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu kwema?? naombeni msaada kwenye bei na jinsi ya kujiunga kwenye bando za zantel,i thank you in advance
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamii natafuta vifaa vya laptop hp notebook nipo maeneo ya mwenge sinza duka gani fresh na lipo wapi? asanteni
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wandugu nilikuwa natumia window vista nikaiona kama inanizingua vile, sasa kuna best wangu mmoja kanibadilishia na kuniwekea window 7 ya kimagirini ci unajua tena kibongobongo tunavyopenda felelee...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sasa Imekuwa awada kusikia kuna kesi ya IPad ddidi ya samsung au kesi ya Motorola dhidi ya Apple. Hivi sasa makapuni ya simu ushidani wao sio tu kwenye kuuza bidhaa za madukani bali pia kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
modem yangu ya vodacom iv karibun imekua haisom gafla nme jaribu kuihamisha kutoka laptop moja kwenda nyingne lakin hamna kitu.. Msaada wenu wataalamu nifanyeje il iwez kufanya kaz ahsanten sana
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Tembelea link hii: http://www.ehow.com/m/list_7169020_computer-programming-courses-tanzania.html Sasa, baada ya kutembelea, vyuo vingine kama UDSM, UCC, MIST, UDOM, etc mpo wapi!? Let's be...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Been arguing with my playermates and havnt come into a conclusion....so any ideas wadau..?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wana jf nina guest house natafuta vitasa vya kutumia kadi, maweza kupata wapi hapa Dar.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanaJF simu yangu N97 ukiwasha inakata mawasiliano kati ya screen na keypad ambapo screen haidisplay signal yeyote wakati keypad inawaka...nadhan nitatzo la mkanda sijui ntaupataje na...
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Hv hii free internet ukii2mia afu mda wake ukaisha waweza 2ma tena?
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom