Video za Mp4 kwenye mobile

Fungakazi

Senior Member
Jan 11, 2012
174
127
Video za mp4 haziplay kwenye simu yangu ya Nokia 3110c je kuna njia yoyote nnayoweza kuzifanya ziplay.
 
sjawahi skia soft ya aina hio labda uwe unaconvert hizo video toka mp3 zije 3gp ndo uplay
 
ila kiukwel hy sm ni ndogo sana,jaribu kutafuta kubwa yk kutatua tatizo hlo linalokukabili.
 
Back
Top Bottom