Usipokuwa makini na Blackberry unaweza ukapost kitu cha ajabu!!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,643
68,593
Umofia kwenu ma igwe na ma ogah!

Aisee bb bwana usipopitia upya post unaweza ukajikuta umepost vitu vya ajabu,kwa mfano:-

Ukiandika HR yenyewe inaandika HOUR
Ukiandika Mo yenyewe inaandika Month ukiandika ID yenyewe inaandika I'd
Ukiandika ........ Yenyewe inaandika ......

Nageuka macregan nawaambia endeleaaaaaaaaaaaa!!
 
haaa hyo inaitwa txt predict fanya ku disable si bberry tu hata nokia unaweza weka mkuu.
Au nimekosea yako ni tofauti na hii?
 
Hizo zinaitwa AUTO TEXT.Nenda kwenye options za blackberry then utaziona,kama utapenda zisiwepo unaweza ukazifuta tu.
---Believdat---
 
Back
Top Bottom