Simu yangu aina ya Nokia N8 haisomi ikiwekwa line... Nifanyeje?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Jamani nisaidieni...

Ila si mpya,ni mtumba kaniletea rafiki yangu kama namna ya kupunguza deni ninalomdai...

Je,itapona endapo ikipelekwa kwa fundi?

Ama nifanyeje?

Kama ikibidi matengenezo,wapi panafaa kuipeleka?
 
It sound like you need to unlock it..................
Possible iko locked na mtandao huko ilikotoka, nivizuri tukajua ni nokia ipi na imetoka nchi gani na ukiweka sim card inakuwaje
Kisha wadau watajusaidia namna ya kui unlock
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom