Wakuu! Nina Laptop model Hp compaq nc 6220,
Kila nikiwasha inaonesha ujumbe wa "insert Smart Card" na zamani nilikuwa natumia bila hiyo smart card, Baada ya ujumbe huo haiendelei tena kuwaka...
Apple OS X 10.8 Mountain Lion preview: Notification Center, iMessage, AirPlay and more
It's only been seven months since Apple launched Mac OS 10.7 Lion, but the company isn't sitting...
wanajamii salaam zenu naomba kujuzwa ni software gani nzuri na free ya ku convert dvd au vcd kuja flv, avi au wmv nia ni ku save video hizo kutoka kwenye dvd cd kwenda kwenye lap yangu niangalie...
Najua mda wote mnafkria vikubwa tu coz u ol magr8 thnkerz! polen kwa hlo.. ! naomben mnjuze v2 special kwny adobephotoshop cs3 and cs4 ..maana ndo kwa nimeipata leo !
wakuu tatizo ni kwamba nikiweka line ya TiGO inakataa ku access internet inaleta msg flani kwamba fail to connect to the internet na configuration za tigo zipo fresh tu....
ila nikiweka voda na...
Play your latest PlayStation 2 Games on your computer easily by using Pcsx2, its a freeware software developed by open source developers at pcsx2.net, the programs easily to install and setup...
Wataalam nitangulize shukrani za kwa e2themiza na Chief mkwawa kwa michango yao mikubwa katika jamvi hili. Ninaomba msaada jinsi ya kudownload mafile ya youtube kwenye simu yangu ya nokia N900...
Kwa wale wapenzi wa simu za tunda yaani apple nadhani sasa hivi hamna kelele tena naona kimya kingi,
Na wale vijana wa gooogle yaani android ndo kwa sasa wako juu,
Naomba niwafikishie poree wale...
Iko wazi Apple Inc wamiliki wa Apple, iPad, iPod, iMac, Macintosh, iTunes etc wana bifu la kibiashara na Android wamiliki wa Ideos, Android Tablets, Android smart phones etc ambalo ni kampuni...
Habari wanaJF? Jamani naombeni msaada wenu ktk simu yangu 'nokia 3110c' kila nikiadd new account kwenye personal configuration inaandika 'memory full. Cannot add new account'. Yaani hata kufungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.