msaada jinsi ya kutuma flash message

msaada jinsi ya kutuma flash message

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
habari zenu wadau,
naomba kwa yeyoye anayefahamu jinsi ya kutuma flash message anisaidie
 
Hio inakua ni option ya simu mfano ukiclick option ya new message inakuuliza text message, flash message au Email
 
hii huduma sana sana kwenye nokia na baadhi ya sony ericsson ndio ipo..
 
habari zenu wadau,
naomba kwa yeyoye anayefahamu jinsi ya kutuma flash message anisaidie

iko hivi,ni kwamba ukiamua kumtumia mtu FLASH MSG,pindi atakavo isoma tu hawezi kuikuta kwny inbox so anakuw na uwezo wa kuisoma mara moja tu.dac it
 
Hio inakua ni option ya simu mfano ukiclick option ya new message inakuuliza text message, flash message au Email
ahsante Mkuu,lakini kwenye nokia E6 mbona sioni hii option? au sijakupata kisawasawa?
 
Faida za Flash messaging ni nini wakuu ?

Flash message ukituma mtu akisoma inapotea haikai inbox kama alivosema lunya so faida zake ni kama

Kutukana mtu, kumtongoza demu alafu akikutaa unabisha hujamtongoza maana hana ushahidi inbox na venginevo
 
Duh! Hii safi sana mkuu, em na mi naombeni download link ya hii application ya Flash massaging for Nokia E-71
 
Flash message ukituma mtu akisoma inapotea haikai inbox kama alivosema lunya so faida zake ni kama

Kutukana mtu, kumtongoza demu alafu akikutaa unabisha hujamtongoza maana hana ushahidi inbox na venginevo

Kwa wasiojua itapotea, otherwise ukitaka kuihifadhi option hiyo ipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom