Msaada plz wa kutengeneza table of content

Kyvo

Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
47
Reaction score
13
Ninaomba msaada tafathali wa kutengeneza table of content automatically, nimejaribu nimeshindwa. kuna zile pages za kwanza kama acknowledgment, declaration, list of abbreviation, list of table na summary. hizi zinaitaji roman namba na kuanzia background inaitaji namba za kawaida. kila nikijariru kuweka roman namba kwenye hizi za kwanza zinabadilisha kazi yote. nifanye nini?
 
Kyvo,dnt panic,copy hizo preliminary pages uzipaste kwenye file lingine,then number kwa roman,hizo zingine,weka namba za kawaida.save,then tengeneza TOC ma uedit namba manually.trust me it works .ndo ninavyofanya mm
 
Ninaomba msaada tafathali wa kutengeneza table of content automatically, nimejaribu nimeshindwa. kuna zile pages za kwanza kama acknowledgment, declaration, list of abbreviation, list of table na summary. hizi zinaitaji roman namba na kuanzia background inaitaji namba za kawaida. kila nikijariru kuweka roman namba kwenye hizi za kwanza zinabadilisha kazi yote. nifanye nini?
Page break itakusaidia. Nenda kwenye insert halafu fanya page break up.
 
Back
Top Bottom