Avast antivirus for Nokia 5800

Avast antivirus for Nokia 5800

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Wakuu naomba kuambiwa ni jinsi gani naweza kupata free and full functional avast antivirus for my nokia 5800 phone.
 
tumia hio hio ya bure kwa muda then itabadilika yenyewe kuwa premium
 
tumia hio hio ya bure kwa muda then itabadilika yenyewe kuwa premium

chief mkwawa naomba na mimi unisaidie namna ya kupata Antivirus kwenye Nokia yangu ya Nokia 3120classic
nisaidie hata link ya kudownload free hiyo Avast kwa Nokia yangu
 
tumia hio hio ya bure kwa muda then itabadilika yenyewe kuwa premium

Chief, hata hiyo ya bure sina, naomba unipe link ya kuidownload, please. Ninayo ya netquin lakini naona siyo effective.
 
Nimejaribu kudownload zote mbili, avira haisupport ilhali kaspesky imekubali ila ni ya trial version ya siku saba. Je naweza kuichakachua ikawa full free version.

Yah zipo patch za kuchakachua nyingi tu sema ni unsigned una alternative yoyote ya kusign?
 
Yah zipo patch za kuchakachua nyingi tu sema ni unsigned una alternative yoyote ya kusign?
Hapo umeniacha kidogo mkuu, patch za kuchakua ndo zipi? Siko fiti kivile kwenye mambo haya, kama vile we nipe link ambayo imeshachakuchuliwa kama ile pdf reader uliyonipa.(joshamto)
 
Back
Top Bottom