Maandishi ya pc yamejikuza ghafla msaada wenu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandishi ya pc yamejikuza ghafla msaada wenu!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Mar 24, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umeme ulikatika ikazima yenyewe nilipokuja kuwasha icon na maandishi vimejikuza kupita kiasi natumia window xp msaada wenu plz je nifanyaje font na icon ziwe saiz ya kawaida kama mwanzo?
   
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,459
  Trophy Points: 280
  nenda kwenye desktop right click kwenye mouse teremka chini chagua personalize settings, net kwenye display, screen resolution itatokea box lina kama ruler na vipimo, drag hcho kidude kurudi left then click apply
   
 3. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,821
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  au fungua page then juu kushoto angalia view,click hapo itatoka text size au zoom unachoose size utayotaka
   
 4. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  thanks kwa bahat nzur ilikuja na msg kuwa screen resolution haiko poa nika iklick ikanipeleka kwenye contror panel ktk display setting screeren resolution ilikuwa low nikadrag ule mshale kwenye kibox had high na kuok ikawa poa the same as you direct me so thanks.
   
Loading...