Jamani hizo proxy nnawekaje mbona mimi laini yangu haina ela niki put kwenye mozilla modem yangu ina sema connecting tu mda mrefu ila nikiweka money niki connect ina connect fasta nifanyaje iko...
Naombeni msaada wenu wataalamu wa simu wa jinsi ya kuondoa virus kwenye Nokia 2730 classic. Nimejaribu kutumia hard reset code ambayo ni *#7370# lakini kwa bahati mbaya hii code haifanyi kazi...
Nina digital camera yangu aina tajwa hapo juu.Juzi nilitumia nikapiga kama picha 40 hivi baada ya hapo sijui ni wapi niliigusa mpaka nikashindwa kuona picha zote nilizokuwa nimezipiga na ikawa...
I just completed my first website. was wondering if you all could take a look at it and give me ur feedback... would really appreciate your honest truth... thanks in advance!!
Plan B –...
Hivi hii simu aina ya Nokia E51 inadai kua ina uwezo wa kua kama Modem hivi unaunganisha je? Pia na WLAN na WI-FI unazitumia je! Ningeshukuru kwa msaada wenu
taarifa nilizo nazo nimesikia wametoa huduma mpya ya unlimited ya nduki na wametenga vifurushi kwa aina kama nne na ni kwa mwezi na ina kasi nzuri, my take ni marketing tactics au kweli itakuwa...
Nimejikuta nimevamiwa na kirusi kinachojiita RECYCLER ambacho huambatana na folder jingine linanoji-create kwa jina la "System Volume Information" Naombeni njia rahisi ya kuiondoa hii kitu.
Tangu nimetumia free internet simu yangu haifungui net kwenye browser yake wala kudownload hata kupitia opera wala uc browser naomba msaada wenu wakubwa
Kuna web cjui kama imeshawahi kuwa posted hapa lakini kama tayari basi kwa wale waliopitwa kama mimi link hii hapa, Serials & keys - unlocks the world. asilimia kubwa ya serial zinafanya kazi...
Natumia Nokia E51, kuna application nilizi install kila nikizitoa zinagoma na nyingine hazi respond kabisa., Njia ninayotumia ku uninstall ni menu>> app mng>>remove. Apps zenyewe ni snaptu...
Wakuu habari za muda huu
nina shida mwenye ujuzi naomba anisaidie,nime upgrade window yangu,sasa kwenye kuwasha cp inaniletea kiujumbe kama hiki
This copy of windows must be activated with...
[*=center]MWENYE KUFAHAMU TATIZO LIKO WAPI ANISAIDIE KUTATUA, FILES ZA EXCEL HAZIFUNGUKI NAPATA MESSAGE INASEMA THERE WAS A PROBLEM SENDING THE COMMAND TO THE PROGRAM Sijui tatizo liko wapi...
Wana jf natumaini wote mu wazima wa afya,ninaomba msaada wenu ninacomputer pentium4 dell tower.jana imeanza kuandika disk boot failer replace and press enter.nikiichek kwenye bios set up...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.