Tangu miaka ya 90 mwishoni RTD ambayo ndo TBC hivi leo walizima matangazo kupitia short-waves ambayo yalikuwa yanafika sehemu kubwa sana suala lilikuwa kunyosha aerial tu. Sasa hatupati matangazo mpaka usiku kupitia medium waves. Matangazo ya FM hayana coverage kubwa. Sie Ludewa tunapata FM za Malawi. Please rudisheni system ya zamani mnatutenga sana jama.