Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wengi wetu neno Ports katika mambo ya kompyuta linaweza lisiwe geni. Au hata kama ni geni basi ni kitu amabcho tunakitumia bila kugundua. Leo tujaribu kucheki ABCc za computer/comunication...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau mi ni mtumiaji wa Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site lakini tangu majuzi naona wanashida na magnetic links zao-nimejaribu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nataka somo la jinsi ya kudownload latest movies, nipo tayari kumlipa mwalimu vile tutakavyokubaliana, asantdm
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Natumia avast lakin tangu wiki mbili ilikuwa inagoma kuuptudate na kuuninstal kwa sasa imeexpire the same way inagoma kuuninstall nimejaribu kutumia Revo uninstaller bado haitaki inarudisha msg...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikua naomba kujua km kuna mtu anapata 3g kwa mtandao wa airtel ktk iphone4. Nimekwenda airtel several times wanafanya settings zao wananiambia niondoke baada ya nusu saa itakua tayari lkn bado...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wamkumbuka huyu Bibie/mama kutokea mitaa ya Sweden aliyekuwa akitamba sana miaka ya 80 kama mwimbaji na Mfokafokaji (Rapper) huku akivaa Bling blingkubwa ya $$? Oyaaa, bado yupo ingawa pana wakati...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
hey nokia lovers kama mnavojua siku hizi developers wengi hawatengenezi games za s60v3 lakini still asian black market ipo game zinaendelea kutengenezwa. Ntapost games hapa na kuangalia kama...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ninapocopy na kupaste data toka kwenye cd napata ujumbe unaosema error copying file or folder cannot create or replace AUDIO_TS: cannot find the specified path. Make sure you specify the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nin maana ya ku hack simu na faida zake?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Today is the day where first computer virus inverted; . Of course, in the early 1970s they weren't called computer viruses, but that doesn't make Bob Thomas's handiwork any less special. Creeper...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Leo sayari hizo mbili zitakutana na kuwa karibu likiwa ni tukio la kihistoria...... Tukumbuke kusali na kusoma maandiko matakatifu kwa bidiii na kutafakari kwa kina neno baada ya neno...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Kama kuna yoyote mwenye ujuzi wa java me Tushare so ujuzi na idea plzzz
0 Reactions
2 Replies
991 Views
airtel yazindua huduma ya intanet ya 3.75G,ambayo itakuwa na kasi ya ajabu,tunaomba iwe ni kwa inchi nzima,sio iwe kwa dar tu!na iwe ni 3.75G kweli kwa speed sio kwa jina,kwani kuna mitandao...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mashine yangu inanipa ujumbe kwamba Copy of Windows is not genuine
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mwenye link ya how to Crack Dreamweaver CS5.5 for Mac Os X ai-paste hapa! Thanks
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naombeni mnijuze hapo ipi iko pouwa zaidi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Just have a look..... Or this one..............
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wajuzi, nataka kununua samsung galaxy tab 10.1. ukiacha internet, ambayo nnayo ofisini na kwenye simu yangu, hii tab itanisaidiaje kwenye kazi zangu ambazo ni za kuandika zaidi? asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnielekeze how can i stream kwenye nokia n96 coz inakataa na ikikubal bac ni huon k2 mwanzo mwisho scratch msaada wenu wakuu
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Back
Top Bottom