Kama kuna mtu anaejua websites za ku download movie free na maelekezo yake atpie hapa jamani ila ni kupitia proxy mazee ukiona una maujnja mengine lets share
Kila ninapojaribu kufumgua Email yangu ya Yahoo ili kusoma mails & mambo mengine naambiwa:
Error encountere!
Error encountered processing your last request!
Encontered Internal Server Error...
Hivi huu mkonga wa taifa umeshaanza kufanya kazi? Habari za mitaani ni kuwa unafanya kazi kupitia TCCL, kama habari hizo ni za kweli, basi mkonga wetu wa taifa la tanzania umechakachuliawa.kwani...
Jaman nina kalaptop kapya nimenunua Dell latitude E5520 betri yake inaonesha kuwa inatunza sana charge ila nilikuwa nina ka Hp fulan betri ikafa hivyo naombeni mnijuze namna gani naweza tunza...
ofisi yangu iko mwanza mjini, tumeunganisha static broadband access network ya tccl(kupitia wire) kwa karibu miezi 2. niliyegemea kwakuwa tccl ina mkongo wa taifa na hivyo basi kwa kujiunga nao...
Wadau mnaotumia airtel, hebu niambieni kuhusu spidi ya huu mtandao kwenye neti, maana mimi niliukimbia nikaenda voda ila naona voda wameanza kuwa kimeo. Leo nimeweka laini ya airtel na naona ina...
nahitaji hii programme lakini hawa jamaa wanadai huwezi kuitumia bila kulipia nifanyeje
inatumika kwenye animation za picha katika blogs,website nk
au mwenye nzuri zaidi naomba
zile za...
Nipo huku mkoani Nilinunua lnb na decoder mwanzo viliungua na radi ila katika Channel ya TBC radio zipo mbili tu tbc fm na taifa clouds haipo je njia gani nitumie kuiadd hii clouds?
Jamani naomba kwa anayemjua au anayejua mtaalamu wa hizi device za touch screen nina ki Ideos ila jamaa alikimwagia maji eti screen ilichafuka sasa kuna sehemu ya screen hairespond (option batani...
mambo vp wadau samahan jaman kuna hii kitu waiita javascript yaaani kila wakati mnapoongelea mi huwa mnaniacha nyuma sana wakuu naombeni japo kwa leo mnieleweshe samani lakini kwa usumbufu lakini...
Jamani e,wataalamu wa kuchakachua free internet mpoo??...jamani nina laini yangu ya airtel sijawahi kuifanya chochote ila cha kushangaza toka mwezi wa kwanza internet yake ni bureee kabisa na...
Nahitaji kuweka hard disk mpya kwenye laptop Dell Latitude D600, natumia hii machine kwa matumizi madogo tu lakini speed ni muhimu hasa kwa games za watoto nk. Pia nataka kuongeza memory yake...
Samsung Electronics Co. (005930), Asias largest electronics maker, probably overtook Nokia Oyj (NOK1V) as the top handset seller for the first time, helped by the popularity of the Galaxy...
natumia camera aina ya benq, memory card ya 8gb. Nikiitumia inanijibu card error nifanyeje wataalamu? Nikiiformat window haikamilishi, nkiiangalia kwenye kompyuta inaonesha iko full wakati haina...
Dell Latitude D620 for sell.↲↲D620 in mint condition.
2GB DDR2 Ram
1.8 Ghz Dual Core Intel processor
120 GB HD
DUAL WiFi Card
Price 320,000/=
Intrested call me at 0712177420
samahani wakubwa naomba nipate japo ujuzi na utaalamu wanaotumia hawa watu wanaoibia benki mbalimbali hapa nchini wanatumia njia gani maana naona hata benki zipo kimya zinaogopa hao watu,
If you wish to have a professional shared hosting quality in a free hosting package, come and host with 000webhost.com and experience the best service you can get absolutely free.
CREATE AN...
nataka kufanya picture itembee kama akina paka mweusi mtazamaji nk
ebu tazama avatar ya huyu paka mweusi
https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/233633-uchokozi.html
Nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi wa namna ya kuconfigure huduma ya push to talk kwenye simu ya nokia, au confuguration settings .endapo kama huduma hii inapatikana hapa tanzania.