Msaada wa network key ya alctael ot-710

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
Asalaam alyekhuma!
nimeletewa zawadi ya simu ya Alcatel majuzi kutoka Dubai, mara baada ya kuichaji na kuweka line ndipo nikakutana na message inayonitaka niweke Network Key, hivyo nashindwa kuitumia simu hii,
naomba msaada kwa mwenye kujua code ya Alcatel OT-71O
 
Back
Top Bottom