Ujio wa TalkTel Tanzania [Huyu mtu ni tapeli au Mkweli?] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa TalkTel Tanzania [Huyu mtu ni tapeli au Mkweli?]

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Endeleaaa, Apr 18, 2012.

 1. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,230
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Kuna Watu Jijini Dar Es Salaam wamekuwa akiwashawishi watu kuwa ile kampuni yaTalktel, kampuni ya simu ilokuwa inasubiriwa kwa hamu mara habari zake zikapotelea hewani sasa inakuja tena Tanzania.

  Wadau hawa wanawaaminisha watu kuwa Talktel is already in Uganda and soon in Tanzania. Partiners wake ni Americans.

  Tafadhali kama kuna yeyote anaejua undani wa hii Talktel atufahamishe maana nahisi watanzania wengi watakuwa wanalizwa huko mtaani kwa style ya kuaminishana kuwa watapewa ajira za mishahara minono. Website wanayowakoga nayo watu ni Talktel Communications

  Tafadhali kama unajua lolote kuhusiana na hii kitu Talktel tuhabarishane.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Tapeli kivipi? Kama kuna kazi subirini kampuni ifunguliwe upate kazi, anyway nina wasiwasi maana kampuni ya simu hata domain name wanashindwa kulipia?
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ni tofauti na Hits-tanzania?
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Hiyo kampuni ilishabadilishwa jina na kuitwa 4G Ltd ni kampuni hai na itaanza kuendesha shughuli zake muda wowote kuanzia sasa!

  Usipende kuaminishwa maneno ya mitaani ndugu, nenda ofisi zao sipo makonde mbezi beach nyuma ya jengo la Sams Super Store!

  Ni kampuni hai iliyotimiza taratibu zote za kuendesha biashara ya mawasiliano Tanzania, sio ya kificho!
   
 5. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,230
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  kaka 4G kwenye Mtandao wao hawaoneshi popote kuwa mwanzo walikuwa ni Talktel na sasa ni 4G. Binafsi nimewahi kukutana na mmoja wa hao watu wa Talktel, mazungumzo yake hayaleti uhusiano wowote between the two Companies, hii inanifanya hata hao 4G nianze kuhofu pia sio wa ukweli maana website yao inaongelea tu habari za wimaxi as technology. Tuliangalie hili kwa mapana zaidi.
   
 6. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  acha watuletee kazi za ICT bwana
   
 7. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hebu tupia hiyo website yao hapa tuone
   
 8. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mkuu, wewe tatizo lako ni nini? hautaki hawa mabwana waje, ama nawewe ni mdau wa mawasiliano, so, unaogopa ushindani? haueleweki
   
 9. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kaambiwa atoe chochote huyo apate ajira...... h hee heee
   
 10. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mbona hiyo 4G ilikuwa ianzishwe na kina Karamagi sijuhi kulitokea nini tena, lakini nilipo check humu nikaona kampuni yenyewe niya Kimerikani ina Branch na Uganda, sasa kwenye web site yao mbona awesemi hapo Tanzania wanashikiana na akina nani?
   
 11. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,230
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Hakuna Relationship kati ya Talktel na 4G mobile, Inawezekanaje 4G mobile wanunue kampuni ambayo haina kibali cha biashara Nchini? Vile vile hakuna popote 4G mobile ime declare kununua Talktel.

  Back to 4Gmobile, Website yako haioneshi wao ni akina nani zaidi ya kuweka links na simulizi wa product za Wimax.

  Ninachokuambieni wale wasio na ajira kuweni waangalifu na haya makampuni ya mapya.
   
Loading...