Chest

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,080
5,045
Flash imepata virus na vimebambwa na avast antivirus.Nimeulizwa viende kwenye chest nami nikajibu ndiyo.Je nitaweza kuyapata haya mafaili tena na kwa njia gani?
 
mkuu hiyo sio antivirus kabisa,niliiweka nikaipa latest update kuiscan PC inaona moja ya virus ni Avast kuwafuta na yenyewe ikacrash kuitoa OS nayo ikafa! Kazi ni makelele tu huku OS bado inaliwa!!Niko na linux sasa nshaachana na matatizo hayo! Hamia Linux bana
 
Kuna bwana kanishauri mara nyingi hiyo linux lakini sijawaona watu wengi wanaoitumia.Ngoja niicheck kwenye mtandao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom