Msaada: DVD Rom inatumia connectors tofauti na zilizopo kwenye computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: DVD Rom inatumia connectors tofauti na zilizopo kwenye computer

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mpushi, Apr 23, 2012.

 1. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif][​IMG][/FONT]
  Wadau naombeni msaada wa nini cha kufanya nimenunua DVD Rom yenye connectors tofauti na iliyokuwepo kwenye computer, hii mpya sehemu ya kuchomeka Power cable ni ndogo sana na pia sioni sehemu naweza kuchomeka Ribbon Cable.
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Nafahamu aina mbili za CD drive, ide NA sata na kama cable haziingiliani basi unaweza kununua ID to Sata convertor zinapatikana Madukani.
   
 3. f

  fisadimpya Senior Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hiyo ni sata bro usitoe macho kama mjusi
   
Loading...