Ushauri wenu juu ya hii blog

hbi

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
678
297
Ndugu wanajamii naomba mnipe ushauri wenu juu ya hii blog ambayo nimeitengeneza.. Ushauri huo naomba uwe wa"technical" au unaweza ukawa ni kwa upande wa "user perspective".. Nipo tayari kupokea maoni kutoka kwa mtu yeyote ili niweze kuboresha zaidi

Blog yenyewe ni Tesdo

Asanteni sana
 
The blue background and the black text doesn't look good at the top. Try to find a nice colour that will fit with the black text. The colour is not supposed to attract attention because people may loose concentration on the text when the colour is too deep.
 
  • Thanks
Reactions: hbi

Poa mkuu talifanyia kazi hilo, je unaweza kunishauri rangi gani inaweza kua nzuri hapo
 
Punguza effects ili iwe official. The flying marquee makes it look kama ni ya watoto. Use as few images as possible so that site iweze kuload faster.
 
  • Thanks
Reactions: hbi
Back
Top Bottom