Naombe msaada wenu best courses between[ information technology ] &[ computer science } | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombe msaada wenu best courses between[ information technology ] &[ computer science }

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Veyron, Apr 23, 2012.

 1. Veyron

  Veyron JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 381
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Jamanai nataka kwenda kusoma kati ya it na computer science ipi ina lipa zaidi au ina good demand ya job naomba msaada wenu
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Soma course content au ziweke hapa.Yaani kila semester au mwakam kwenye IT na Computer science wanafundisha subect/Topic gani ? Kigezo cha malipo kitakuchanganya . Unaweza kuwa umesoma computer science au IT ajira za serikali utalipwa tofauti na Makampuni binafsi kama ya simu. Hali n ihiyo hiyo hata kwa wahassibu,wachumi.etc
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jaribu kusearch kuna post kama hii humu JF.
  Ila bora CS.
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Vitu vingine mkuu vinategemea sana na your future plan in your career...what are your plans....what do you see ahead of you? Then have plans according to what you seeing.... if you know your plans then utajua kwa kwenda if you dont have plans utaumia mkuu...kumbuka hapa kila mtu ana motivation zake kwa hayo anayoyafanya saiz iwe ni IT au CS...so mimi naweza kukueleza benefits nyingi za kukuvutia kwenye IT kumbe ni sababu ya plans zangu tu nilizozipanga tangu zamani mpaka nikafika hapa na mweingine wa CS naye ni hivyohivyo....so usipokuwa makini unaweza chukua chaguzi kwa kushauriwa tu na watu afu baadae ukala mkenge bila faida yoyote...nchi yenyewe hii hata mtu aliyesoma udaktari cku hizi anaweza kuwa IT...so USHAURI WANGU KWAKO ni JUST DO YOUR PLANS AND FOLLOW YOUR DREAMS...mambo ya kushauriana eti nisomee kozi gani ilikuwa zamani mkuu, siku hizi ni kufanya mipango na kwenda kule kunapojibu...la sivyo utapotea mkuu!!
   
 5. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  IT na computer science zinafanana sana ila tofauti inakuwaka kwenye kozi chache. Ambaye kwenye IT kunakuwa na major ya Information system na ya computer science. Wakati computer science inaweza ikawa double major au one major ya comp science na nyingine na eidha mathematics au statistics na kadhalika. Kwanza malengo yanko ni nini kwa kutaka kusoma hizi kozi na why not Bcom au uchumi .hilo lengo lako ndo litakuwa guide kwenye ipi usome.
   
 6. Codezilla

  Codezilla Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  First i tend to think you priorities are misplaced,you want to study a course for the purposes of getting a job????
  If that's your core reason my friend cancel out CS coz 1 it is clear shows you have no passion for computers and your out-most desire is to get employed....that clearly shows you can not solve problems[a computer scientist is suppose to solve problems].
  Anyway the buck lies with you,if you want well paying jobs both fields are quite satisfying more so Computer Science which is quite dynamic...best of luck
   
Loading...