Mtaalam wa kujaza wino laserjet p 1566

Adolph

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
895
346
Wakuu nina printer aina ya laserjet p1566 inayotumia catridge no.78a.natafuta mtaalamu anayeweza kujaza wino ( toner)..msaada tafadhali!!
 
Hapa ni JF!

Kila namna ya mtu utampata hakika!
Kuwa mpole kwanza kwn Makamanda wanaivamia jukwaa lengwa muda huu!

Wataalam wapo bila shaka Kiongozi!
 
Back
Top Bottom