habari zenu wanaJF,
ninatumia nokia 5235. Katika kujaribu kwangu kupata baadhi ya application ambazo ninangeweza kuzitumia kwenye simu yangu na ni fullversion(cracked applications) naona kwenye...
Kwanini kwenye simu nyingi za kichina kunakua na web browser ila ukijaribu ku-connect internet inagoma!?
Kuna mwenye settings za internet kwenye simu za kichina!?
jamani naamini teknolojia inakua siku hadi siku...........Mi nataka kujua kama kunauwezekano wa kutumia computer yangu kuwa narusha hela kwenye m-pesa, air tel mone na tigo pesa. kuliko kuendelea...
Hii album mpya ya UTAMU WA YESU nimeiingiza katika laptop ili niweze kuicopy lakini haionekani kabisa wakati ninayo DVD room.nimemuuliza na mwenzangu akasema hivyo.nafikiri wamefanya hivyo ili...
msaada jaman juu ya keyboard, nna computer motherboard yake haina tundu za ps2 inamana uta2mia usb pekeake. Shida ilopo ukiwa unawasha computer keyboard inafail n u cant access to bios people what...
Ndugu wanabodi, kamera yangu digital aina ya Sony imedondoka, lens ikiwa imefunguka katika standby mode. Inagoma kurudisha lens ndani kwa kuwa imepinda. Kwa anayejua fundi mzuri na mwaminifu wa...
natumia nokia 6120c,nna wiki sasa inagoma kusoma memory card,inasema file corupted ,nimebadili memory card zaidi ya 2 lakn wapi.ukiweka mpya inasoma baada ya kama lisaa limoja inagoma inasema file...
Wakuu kuna website inajitokeza kila napotaka kufungua Facebook na yenyewe kuingilia kati na kujifungua
Naombeni msaada wenu plz kwani nakereka sana. mtandao wnyw unaojitokeza ni CAMOLIST.COM
jamani kwa anaefahamu link ya ku download software ya CoolNovo uswebproxy kwa kifupi ukishadownload unaweza tumia internet bure kama kuna masahihisho mnakaribishwa cha muhimu nipate iyo kitu...
ninatumia hiyo simu (BLACKBERRY STORM 9530) jana (11 april 2012) nilijiunga na data plan ya mwezi wakaniunganisha na kunitumia process za kuregista ili nitumie.. that niende MENU-OPTION-ADVANCED...
Nimeinstall application inaitwa signsis kwenye simu, kuna sehemu inahitaji kujaza/attach key, cert na sis nikitaka ku sign application ya helloox sa na nimejaribu kwa njia ya PC kwa kutumia...
Wakuu, kuna madai niliyoelezwa na dereva tax mmoja kuwa, et ukiwa unaendesha gari spidi zaidi ya inayotakiwa mahali fulani (mfano 30km/hr) na ghafla ukawaona Askari Usalama barabarani (Traffic)...
Blackberry torch iko used lakini good condition kwa 500,000tsh/=
Ps3 slim!! nayo ni new, ina cd zake 3 original au 10 ya ku install ndani ya ps.... only 650,000tsh/=
Ni PM ama nipigie at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.