Wakuu nimetafuta proxy mpaka basi maana zile 2lizopata kwa wadau nyingi zimeshaleta dosari za limitations na nyingine zimefungwa kabisa. Nawaombeni kama mna proxy nyingine mtumwagie hapa Jamvini.
wakuu tokea jana kila nikijaribu kubrowse kwa kutumia ile neti yetu ya bure kutoka voda ,ina nitolea mbavuni au ndo washatupiga pini !
Maana you tube video hazichezi hata page ya jamii forum...
Wadau wa jamvi hili leo nimekuja ili tushare knowledge zetu kuhusiana na web hosting. Katika mada hii ningependa tuongelee zaidi kuhusu tools and equipment zinazohitajika inorder to become a web...
As usual mtazamaji is not the greatest tech guru in town but likes to share some tips/tricks and knowleddge about ICT.....
Badaa ya mkwara wa kuanza kwa kimombo nirejee kutumia lugha...
Hi all,
Please naomba msaada wa hali na mali;
Je nawezaje kubadili OS ya my laptop ya Windows 7 Ultimate kwenda/kurudi Windows XP Professional?
N.B
Originall this Toshiba laptop came with...
habari zenu wanaJF,
ninaswali nataka kuuliza. Hivi kuna software ambayo ukiinstall kwenye simu inakuwezesha mtu kutuma message kwa mtu yoyote lakini akiipata aone imetoka kwa mtu ambaye wewe...
kulingana na sheria ambayo inawalazimisha hawa wenye makampuni yanayotoa huduma ya ving'amuzi hususani(TING)ni kwamba utakapolipia yale malipo ya mwezi ambayo ni elfu kumi,utaona local chaneli...
ni ukweli usiopingika jf unapata taarifa sahihi za kila kitu pale unapohitaji.nimekuja jukwaa hili 5 tech ili nipate abc nataka kununua pikipiki iliyotumika.ni zile honda nyekundu zenye kikapu...
guys maybe wengi hamfahamu kuhusu hii application, inaitwa vhome hii ni app inayomuwezesha mtumiaji wa nokia s60 kuchange home screen iwe kama simu nyengine za android au iphone zipo pack nyingi...
Habari Jamii. Poleni kwa msiba wa Kanumba ingawa naona kama maigizo vile. Naomba mnisaidie,nataka kununua mojawapo ya bidhaa nilizoandika hapo juu na nimesha fanya mawacliano na kampun hucka. Hivi...
jamani kwa wana JF huku Kijichi umeme ilikatika saa 11.00 alfajiri mpaka sasa hivi saa 2.20 usiku hakuna dalili za kurudishwa tujue walikuwa wanatuzuga kwa ajili mya sikukuu ya pasaka ndo waanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.