LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
Wakuu nilikuwa naomba kueleweshwa na ikiwezekana kusaidiwa juu ya hili la OBD 2.Kuna mafundi wanatumia laptop kufanya diagnosis kwenye magari baada ya kutumia zile diagnosis scan tools.
Kwa mafundi watumiao laptop kama diagnosis tools huwa na blue tooth inayochomekwa kwenye laptop na huwa kunakuwa na software inayuhusika na hilo.
Je software hiyo naweza pata wapi??
Bluetooth pamoja na connector ambazo huchomekwa kwenye gari sehem ya OBD 2 connector.