Hii ofa mpya ya airtel ikoje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ofa mpya ya airtel ikoje

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Hercule Poirot, Apr 11, 2012.

 1. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Wakati watumiaji wa Airtel modem tukiwa ktk janga la kushuka kwa speed yake toka HSPDA hadi EDGE , huku wao wakitangaza kuwa wana speed kali ya 3,75 g na sasa wametoa/wanatangaza kama wanajf mnavyoona hio banner yao hapo juu kuwa NUNUA MODEM YAO KWA TSH 30,000/= NA UPATE INTERNET YA BURE KWA MIEZI 6 INA UKWELI WOWOTE ....KWA AMBAYE AMESHANUNUA KUPITIA HII OFA TAFADHALI TUNAOMBA ATUPE FEEDBACK KUHUSU OFA HIO NA UWEZO/SPEED YA HIZO MODEM MAANA TUNAKARIBIA KUWAKIMBIA HAWA JAMAA
   
 2. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Miezi 6 bure?lugha za biashara 2 hizo yan utakuta kila mwezi wanakupa 400mb ila wanavyoongea utadhani ni unlimited for 6 months..ngoja walionunua watujuze
   
 3. T

  Tekenya Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mim siwaelew kwa sasa maana hata ile ofa ya kuanzia saa tano usiku wameitoa, hiyo promotion sijajua inakuaje labda anaejua atujuze tafadhali.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tekiniki za bizna hizo,kwani hzo modem ni za 4G? Mitambo ya 4g wamefunga lini na nani aliwapa hyo lisence?
   
 5. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hivi kuna watu bado wanatumia Airtel?
   
 6. Eddy M

  Eddy M Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Wezi tu hao hawana lolote wameshindwa kazi bora walale mbele tu.
   
 7. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Wadau leteni feedback au hakuna aliyenunua hio modem ya ofa....ndo kusema jamaa Airtel wanafulia
   
 8. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hakuna lolote labda walionunua leo, ila bado tuna 3G, TTCL ile ya Fiber Optic ndo wakweli
   
 9. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  wewe unatumia nini ?
   
 10. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ntanunua kesho.. Ntawajulisha leo mvua nkashndwa.. Bt swala la speed mbona Airtel iko mwake sana.. Uku naona inapta wk speed haijashuka
  2.5mbps au 280KBps tena iko safi sana ktk kustream hd hazigandi kabisaa!!
   
 11. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah,it seems unakaa chini ya minara ya simu.
  ---Believdat---
   
 12. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Mkuu huko kwako tu....sisi huku tunachezea kitu cha EDGE wiki ya pili sasa....kesho tutacikilizia feedback toka kwako.
   
 13. t

  tony009 Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna ki2 spidi ya kawaida sana kuna rafiki yangu kanunua jana,ila kuna muda ilikuwa inamsumbua maana network iko down na anakaa town!
   
 14. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  mkuu tony tuambie kuhusu hicho wanachosema ni ofa ya miezi sita kikoje....ishu ya speed twaijua
   
 15. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hercule jaribu kuforce ikamate 3G Only! Kama umeset auto.. All the time EDGE minara iko full so inapewa first piorty.. Kitu hku ni swafi kabisa baadae nataka nweke tena Airtel nwotch epl.
   
 16. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Haha hi angle ambayo computer imekaa paukwl sana kla mtandao unapga mzgo.. So full kujienjoy na Zantel na Airtel hapa
   
 17. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,798
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Dah! Kwa akina sie hizo teminology na technical settings tutaweza kweli??

  Mwisho wa siku watumiaji wote wa Modems tutakua mafundi wa IT sasa. Mweee.....!!??
   
 18. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  inaanza saa sita mkuu...nadhani wanatoa mb 200
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mkuu.....mimi nimekinunua leo hii....
  ki ukweli kina speed fulani ambayo sielewi sana lakini ukikiweka kwenye laptop kinajiset chenyewe na speed ni nzuri.....
  tatizo linakuja......hii free internet ya miezi 6 inatoka wapi....?....wabongo na bure unatujua tena......
  wakati nakinunua kulikuwa na watu wengi so nikaona muuzaji kachanganyikiwa kwa maswali....nikaona isiwe tabu nitauliza customer care.....
  kupiga customer care kuuliza....muhudumu wa kwanza akanipotezea akakata simu.....
  wa pili alikiri kwamba.....kweli sijui hiyo free internet inakujaje kujaje naomba unisamehe jaribu kuuliza tena kesho.....
  binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
  ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....
   
 20. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mkuu nivizuri kusema haujaelewa wap kuliko kulalamika..
   
Loading...