Msaada ku instal window xp

Jom06

Member
Mar 23, 2012
37
2
Hongereni kwa kaz wadau wote wa jamii.nina laptop aina ya accer ina window vista.sasa nataka niweke xp na kila nikianza kuformat ikifika kwenye partition kompyuta inazimika.msaada pls
 
inawezekana laptop yako imesetiwa SATA mode ON....ingia kwenye bios settings, tafuta sehemu yenye configuration ya SATA kisha set iwe COMPATIBILITY mode...
 
Back
Top Bottom