Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Msaada wakuu nina HTC chacha A810e imezimika baada ya kudownload new version ya facebook ya android nimejaribu kutoa bettery nakurudisha imegoma kabisa lakini taa ya charge inawaka nikichomeka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau nilikua natumia U-torrent bt saivi inanizingua naomba suggestion ya Torrent software ambayo iko poa kwa kudownload
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa, laptop yangu inapoteza kumbukumbu kwenye upande wa saa na calender na kila nikirekebisha inajirudia tatizo linaweza kuwa nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa, kwa yeyote anajua website au link ambazo ntaweza kuangalia epl live naomba anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Laptp yangu inaniletea msg kuwa window is not genuine naombeni mnielekeze jins ya kuiondoa. Heri ya mwaka mpya.
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari
0 Reactions
8 Replies
2K Views
:-*Hapa ni baadhi ya fursa ambayo unaweza kurejea katika biashara thriving majumbani; Affiliate Marketing, mabalozi, Bure Affiliate mtandao, eBay & Auction kuuza, ecommerce, Sanaa na Craft, Kilema...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Slowly melt both sides of the break over say candle fire, Gently press together sides when "melted" on cooling 99.9 % realiable weld.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba niwekwe sawa ama nielekezwe kwa kina kabla sijaingia mkenge kuhusiana na huu utapeli wa vodacom,Tukiachana na huduma ya M PESA ambayo code yake unabofya *150*00# then unapata menu yake.Ila...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Heshima wakuu: jamani nimeformat local Disk :D yangu kwa bahati mbaya, na kuna important Data yeyote mwenye kuweza kunisaidia software inayoweza kurecover/get back data full version for NTFS...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This is not just one trick but a series of simple trick that lets you significantly increase you internet speed and i guarantee you an increase in your internet speed. This trick works on all...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
heshima mbele wakuu...wakuu naomba ushauri kamera gani ni nzuri kwa matumizi ya kupiga picha binafsi nina laki mbili kwa jili yakununua hyo kamera...ushauri plz
0 Reactions
24 Replies
4K Views
I gat i pad 3 wit new os. Vission 5.1 (9B176).. I need to jail break it. If anyone can help me wit dat we will do busness... Tanx in advance
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nilikuwa na install windows xp service pack 3 kwa kutumia cd ikaishia kati sasa kila nikiwasha inasema insert to continue installation niweka inagomea palepale nimejaribu cd zngne bado inakataa...
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Wanandugu natumai mpo safi kwa uwezo wa mungu.wazee nipeni ujanja wa namna ninavyoweza kupiga simu ktk pc yangu,dashbord za huawei zile za zamani zilikuwa na option hiyo ila za sasa hazina hiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niaje wana jf? Kwa wanaotumia symbian phones kuna fonts kama 35 hiv kwa ajili yenu! 1. Fungua www.waptanga.tk 2. Nenda sehemu ya symbia zone 3. Fungua symbian fonts 4. Mwisho fuata maelekezo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau wa Tech naombeni msaada wa soiftware gani inafaa kuanzia kutengeneza Mobile apps...kama umetumia mojawapo na ukaona ina msaada sana please list it here. I AM INTERESTED .
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada ku unlock izi modem, maana haka kaprogram kangu kanazi unlock temporarily, nataka permanent unlock
0 Reactions
2 Replies
2K Views
imei yake ni 352374047515310
0 Reactions
5 Replies
1K Views
if you have a business in Arusha or Tanzania then our web marketing services are for you. People are searching for what they are looking for online on the internet using major search engines and...
1 Reactions
2 Replies
871 Views
Back
Top Bottom