Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
habari zenu wanajf,
Naomba kujua ni software gani na nitaipataje ikiwa ni full version inayoweza kurecord skype conversation. Ningependa hiyo software iwe inauwezo wa kurun in the background nikishainstall kwenye computer (nikimaanisha nikiwasha computer ianze kazi na pia mtu yoyote atakayekuwa natumia computer yangu asijue kuwa hiyo software ipo inafanya kazi)... kuna watu hawana ustaharabu, wanakuta mtu umefungua skype yako kwenye computer yako wenyewe wanaanza kuwapigia watu tu wakati akaunti sio zao sasa nataka nikamate sauti kama evidence ..