Kupakua data kutoka kwenye tovuti

Kupakua data kutoka kwenye tovuti

kotinkarwak

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
376
Reaction score
115
Nina shida ya kutengeneza list ya mashule na maeneo yalipo mfano:

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 50%"]Maua Seminary
[/TD]
[TD="width: 50%"]KILIMANJARO
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]MANOW LUTHERAN JUNIOR SEMINARY
[/TD]
[TD="width: 50%"]MBEYA
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nimeipata hiyo detail kutoka necta lakini najua kuna urahisi wa kutumia ICT techniques kupakua hizo details zote na sio kufungua kila ukurasa na kunukuu hiyo detail.

Mwenye kufahamu njia nipe shule...

KK
 
ngoja waje wataalam watujuze. Hata mie niliwahi kuona mtu anafanya hiyo lakini sikujua alifanyaje!
 
Back
Top Bottom