donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
nimekua nikiangalia movies wakuu zinazohusu mambo ya intelejensia na mapigano. kuna kitu hua kinanishangaza leo naomba kujuzwa. inakuaje pale mtu anapigwa risasi ikiwa amevaa bullet proof but anakua kama analuzi conscious ivi kidogo adi baada ya dakika kadhaa. je, ile impact na magnitude ya risas inapokua inaingia kwenye bullet proof anaifeel? nawasilisha wakuu .