Ubuntu VS Windows

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
400
140
Habari wakuu,
Ninaomba kufahamu faida za ubuntu dhidi Windows zetu; nasikia iko more secured na vingine vingi, naomba kupata ukweli juu ya hili kutoka kwenu wanazuoni.
 
swari zuri, lakini ungesema unataka kusomewa wewe umeze...kwa sabb faKt zimejaa mtandaoni humu jf pia zipo..ref. hapo kweny hzo thread
 
Mimi siwezi kueleza kuhusu tofauti za kiutendaji wa kawaida kati ya Ubuntu na Windows. Lakini ninachojua kuhusu Ubuntu ni kwamba ilibuniwa hasa kwa ajili ya 'thin client' internet communication. Thin client ina involve kutumia CPU moja kwa monitor kadhaa, hadi 10. Lengo ni kupunguza gharama. Maelezo zaidi kuhusu thin client - Welcome to the Ndiyo project! | Ndiyo.
 
Back
Top Bottom