Dah umenikumusha mbali, I play god of war 1 and 2 2007 kipind nimemaliza 6 nasubir kwenda chuon, yaani ni bonge la game, and then mwaka jana nimecheza god of war 3 mpaka mwisho na to be honest hii ndo game iliyonifanya nijibane kamshahara kangu ninunue ps3, yaani dogo there is a lot of challenges awaits you,
On my views god of war one ndo ngumu kuliko zote na ina storyline nzuri, god of war 2 has gud storyline but njia zake zinasumbua sana and in games videos kibao, god of war 3 ni amazing in terms of graphic yaani you feel real HD experience and the power of playstation 3 in terms of epic scales although ni rahisi sana as haina njia ngumu, ushauri kuwa makini sana na camera inavyo rotate ukifika new stage hapo inakuonesha njia indirect,
umenikumbusha hares, hades, zeus, medusa, euryale and mama yao ambaye unakutana nae kwenye god of war 3, mateso anayoyapata gaia na cronos katika god of war 3 unaweza kutoa machozi, maana kwenye great war wanateseka sana, sikutoka nje likizo ya form 6 kama 4 months kwa ajili ya hizo best games for playstation na likizo yangu ya kwanza kazini I was spending with the last God of war 3 and I real have fun, nazani ikitoka God of war ascension ndo itakuwa game yangu ya mwisho kuicheza as umri umeenda na muda wa kucheza hardcore games zinazohitaji seriousness unazidi kupunguzwa na life strugles
Sasa hivi nacheza metal gear solid 4 but its real tough