Epuka usumbufu wa simu sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Epuka usumbufu wa simu sasa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by roseric, May 3, 2012.

 1. r

  roseric Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  FULL MAUJANJA NJIA
  ZA KUEPEKA USUMBUFU
  WA SIMU JARIBU SASA Kama hutaki usumbufu
  pia unaweza ku forward
  simu zote na ukapata sms
  pindi mtu akikupigia
  *21#0754125125#ok hii
  ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok.
  Ukitaka kutoa
  ##002#ok.
  Sim itakua haipatikani
  pindi mtu atakapo
  kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia
  kwa mda huo huo. ACHA
  COMMMET YAKO MUHIMU... I HOPE MAANDISHI YAONEKANA ENJOY!!
  ​
   
 2. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,578
  Trophy Points: 280
  togo inakuwaje??
   
 3. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  sasa kama mtu hataki usumbufu wa sim. Ya nini kununua sim? Au kuwapa watu namba yako? Unataka kusema waliotengeneza sm ni wajinga?Tufike sehemu tujue tunachoandika na tunachosema mbele ya jamii sio kukurupuka tu
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mi nimeshangaa sana
   
 5. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu umeelewa kinachosemwa hapa????si wakati wote utakuwa tayari kupokea cm,upo wakati mtu huhitaji mapumziko,tafakari kwanza kabla ya kumponda mwenzio
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nimeipenda hii ngoja nijaribu
   
 7. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  si wakati wote utakuwa tayari kupokea simu,upo wakati wa utulivu,na ukizima cm hutajua nani kakutafuta
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu,usumbufu wa simu unatokea ktk mazingira yafuatayo,
  1.kuna wakati mtu upo kwenye kikao muhimu huitaji simu kuita lakin unaitaji kujua nani anakutafuta
  2.kuna wakati mtu unaendesha gari au upo na watu sehemu ambapo huwezi kutoka kuongea na simu pembeni,lakni pia ukiongea pale utawakwaza wenzio au sir kuvuja
  3.kunawakati mtu upo unaendesha semina au upo ibadani/kanisani
  4.kuna wakati mtu umepumzika na mwe
   
 9. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hii kitu safi sana, hebu mkuu tupe maujanja haya pia watumiaji wa TIGO na AIRTEL, shukran kwa elimu endelevu!
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hii sijaipenda hata kidogo maana inafunga simu zote kuingia. Ningependa zaidi kama ungetupa maujanja ya ku-block namba fulani tu wakati zingine zinaendelea kuingia kama kawaida.
   
 11. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 12. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 13. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sasa hiyo si call diversion?
   
 14. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Bwana acha tupewe maujanja hayo kwani wengine wamezidi kubomu bomu, wengine wanakuamsha usingizini ukifikiri simu ni ya kikazi kumbe anataka mkutane SunSiro..... ahhkkkhh
   
 15. mpungara

  mpungara Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kwa tigo je?
   
 16. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Pamoja mkuu, ila usitusahau sisi tuliohamia airtel.
   
 17. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mkuu sisi wa tigo na airtel pia tuna haki ya kupata!
   
 18. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sasa si bora tu uzime!!.
   
 19. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 20. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Activate flight profile,hapo ni komesha ya usumbufu!
   
Loading...