Naitji msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naitji msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MTOTO WA KUKU, May 6, 2012.

 1. MTOTO WA KUKU

  MTOTO WA KUKU JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 1,822
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  kwenye computer yangu nimeweka Adobe CS4 colection. ADOBE PREMEERE inafunga unapotaka kuimport file inakataa na kutoa ujumbe(CODEC MISSING OR UNAVAILABLE)nimejaribu kuweka CODEC mbali mbali imekataa. Naomba msaada wenu.Os ninayotumia ni windows 7 32bit
   
 2. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  mimi nna adobe master collection cs5 yenyewe unapofungua program mara ya kwanza eg premier au yoyote kwenye collection ina update kwanza plugins na kila kitu necesary then inajirestart. Sasa sijui yako vipi? Kama inaandika majina ya plugin znazomiss jaribu kuzidownload ambazo ni mahususi kwa cs4
   
Loading...