Airtel Internet on Android

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
987
131
Help me guys kama kuna anaejua manual settings za airtel kwenye internet anipe...simu ni ideos u8150.
 
internet accsess point au APN ni internet
nenda kwenye internet settings na uweke neno internet kama APN
 
Help me guys kama kuna anaejua manual settings za airtel kwenye internet anipe...simu ni ideos u8150.
haa kaka ni rahisi pamoja na ukihiyo wangu kwenye IT ,nami nilikwazwa kwanza nilikuwa natumia vodacom nikaenda pale kwenye duka lao Mlimani City yule kijana wa data akanifungulia ,ingawa hakuniambia jinsi ya alivyofungua,nikataka nitumie Airtel nikasogea pale kwenye duka lao la aitel jamaa pale hakuna mtaalamu wa mambo ya data akajishaua tu ikashindikanika,niliporudi nyumbani nikaamua kutumia ukihiyo wangu,naam ikafunguka nenda kwanza kwenye kitufe cha setting,halafuwireless & networks,then highlight Wi-Fi,hapo kwenye WI-Fi uki click utaona kisanduku andika airtel na utaona sehemu imeandikwa open save tayari kwa kutumia kwa kifupi Wi-Fi iwe wazi
 
Help me guys kama kuna anaejua manual settings za airtel kwenye internet anipe...simu ni ideos u8150.

Ingia kwenye Apps (All Apps) kisha settings,halafu wireless & networks kisha weka tick mobile network
 
APN: Internet, Port: 9201 na kazi inakua imeisha thou hii simu ina poor power backup..
 
Nimepata solution: hakuna haja ya kuactivate Wi-Fi; unaenda Settings > Wireless & networks > Mobile networks and APN > Access point names > Menu > New APN > weka jina airtel na APN airtel basi unanunua bundle unasonga.
 
Umeona ndo kipya sio??
 
Back
Top Bottom