Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

BUSH ZOTE MBLI ILE YA NUSU MWEZI NA ILE YA DUARA KWA ALINAZO TUWASLIANE MAIL andersonmaneno9@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shida yangu ndio hii wakuu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Try this cool tricks-> press alt+ctrl+^(up arrow) to turn your screen upside down, to restore press alt+ctrl+(down arrow), press windows+L for quick logout, if you know more tricks please share.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nina simu yangu ya nokia si mchina nikiweka kwenye chaji inafanya kazi vizuri nikiitoa inawaka muda mfupi then inazima ivi hapo kuna nini wakubwa yaani inaniboa sana asee
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetumiwa hii msg kwenye mail box yangu, mi sio mtaalam wa ma-IT, hivi ni kweli mtu anaweza kupata information zangu zote kutoka kwenye PC yangu kwa kufungua tu hilo faili? Please Be Extremely...
2 Reactions
3 Replies
907 Views
ni laptop compaq preasrio cq57 inaonesha wireless network ila ukiconect ina leta msg kwamba windowa was unable to connect to ...... masaada wakuu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamii! Nawatafuta watu wenye mitaji ya kuanzia kama milioni 3 hivi tufanye nao biashara. Biashara yenyewe iko namna hii ni kuzalisha umeme kwa kutumia machine ya kusaga...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni msaada kuhusu display ya simu yangu kujaa rangi na kutoonyesha kitu chochote kila ikiingia kwenye standby mode au nikiizima na kuiwasha mara nyingine inajaa rangi na kutoonyesha chochote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeckia kuwa kuna settings za network ukiweka kwenye handler application kama opera mini 4.2 labs unaweza kutumia internet bure, je ni kweli? Na kama ni kweli naombeni msaada wenu.
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Wadau naombeni msaada wa key za hiyo software hapo juu au Crack yake
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, kama kuna mtu yuko teyari na anaweza kufundisha Dynamic website kwa kutumia php tuwasiliane, tupange na malipo yatakuwaje, Niko Dar
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shida yangu ndio hii wakuu
0 Reactions
1 Replies
847 Views
nina simu yangu ina matatizo sana sijajua suluhisho lake kwanza ukiiwasha inawaka baada ya muda inazima,nilipeleka ikaflashiwa lakini bado inawaka na kuzima nikabadilisha betri bado tatizo ni lile...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimesahau password kwa hiyo nashindwa kufanya mambo mbalimbali. Nifanyeje? Naomba msaada.
0 Reactions
0 Replies
785 Views
habarini wakuu wa jamvi,me ni kijana mwangaikaji sana juu ya technology lakini sasa technology imeamua kunihangaisha kimawazo na kifikra! Mimi nina memory card yangu niliweka kwenye pc yangu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajf, naombeni mnielimishe jinsi ya kuweka password kwenye simu ili mtu akitaka kucheki salio ashindwe kuona mpaka aingize hiyo password. hii kitu nilionaga kwenye simu(nokia) ya jamaa...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Jamani kama kuna mtu mwenye key za document to go 2.003 (blackberry application) anisaidie tafadhali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa mwenye serials za kaspersky 2012 naomba anisaidie
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Wadau tangu juzi Zantel wameongeza vifurushi vyao vya intanet as follows 2 GB sasa ni sh 15,000 kwa mwezi, 3 days UNLIMITED kwa SIKU 3 ni Tsh 5000, NA ile bundle ya Highlife imekuwa ni 5GB kwa...
4 Reactions
63 Replies
9K Views
Laptop yangu kila nikiwasha screen inakuwa nyeusi lakini taa zina blink je nifanyeje naomba msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom