Msaada Please Mtaalamu wa simu za IPHONE

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Marafiki Mambo Vipi?Natumia iphone 3g sasa Jana nili erase setting zote kwenye simu, Matokeo yake simu imegoma kuwaka kabisa inaishia kwenye log ya Apple tu, wapi naweza kupata fundi ambae anaweza kunisaidia hili tatizo? au ni kitu gani napaswa kufanya?
 
Upo wapi? Kama ni arusha naweza kukusaidia, kama ni Dar es Salaam, nenda kariakoo machizi kibao wanapiga hizo ishu. If you know your way around Apple devices, ama kama wewe ni mtundu mtundu ingia hapa kuna kila tutorial step-by-step iClarified - Tutorials - iPhone
 
Back
Top Bottom