MSAADA TUTANI: Nahitaji Jingle ya Kipindi cha SupaMIX ya Zembwela na Michael baruti EA Radio

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,419
1,981
Salaam nyingi kwenu wadau,,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata audio ya free style alofanya godzila kutengenezea jingle ya tangazo la kipindi cha supaMix EA Radio cha Zembwela Na michael Baruti,arushe maujanja hapa coz naitafuta sana hicho ki-jingle..

Amani sana Kwenu,pa1 sana
:israel:

 
Back
Top Bottom