Je kuna program ya kufanya ili?

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
HIVI INAWEZEKANA KUFANYA ILI?
NATAKA NI-INSTALL WINDOWS XP YOYOTE KWENYE COMPUTER HALAFU KAMA INAWEZEKANA KUTUMIA UJANJA WOWOTE NIRUDISHE MAFAILI AMBAYO TAYARI YAKO INSTALLED NA NITENGENEZE INSTALLATION FAILES NYINGINE ZA XP SUCH THAT IKITOKEA NATAKA KUFORMAT COMPUTER BASI NITUMIE HIYO CD AMBAYO ITAKUWA BOOTABLE. KWA MFANO KUNA UJANJA WA KUISTALL PROGRAM NA UKATUMIA MAFAIL YAKE AMBAYO TAYARI UMEYAINSTALL NA KWA KUTUMIA COMMANDS FULANI UNAWEZA KUTENGENEZA setup.exe YA PROGRAM HIYO NA KAMA UNATAKA WAWEZA KU-REINSTALL PROGRAM HIYO KWA KUTUMIA HIYO SETUP.EXE ULIYOTENGENEZA. JE YA WINDOW INAWEZEKANA?
 
naona lengo lako ni kuformat window but all ur files uzipate after installation ur new window, make partion of hard disc then all files put into disc C, then ukianza kuformat ignore hard disc C. After that install ur window u need finally all files zitabaki kwenye hard disc C safe.
 
Sijui nielezee vipi kwa lugha nyepesi? lakini swali langu lina maana ya kwamba, hivi naweza kutumia maujanja yapi na kuweza kucopy, ku-retreave mafail ya OS ambayo tayari imekuwa installed na hayo magail ya OS nikayatumia kutengeneza OS na kuibani kwenye CD na ikawa bootable kiasi kwamba hata nikitaka kuformat PC yangu basi nitumie CD HIYO.
 
Senior Member, nimekuelewa ila nahisi kuna baadhi ya watu hawajakuelewa. unachotaka kufanya kinawezekana 100%, nipe email nikutumie softwware!
 
Senior Member, nimekuelewa ila nahisi kuna baadhi ya watu hawajakuelewa. unachotaka kufanya kinawezekana 100%, nipe email nikutumie softwware!
...THIS IS WHERE WE DARE TO TALK OPEN...Mwaga maujanja hapa mkuu...ingekuwa ni ishu ya kuchakachua internet sawa maana kuna watu wao humu...lakini kwa hili mkuu!! we mwaga hapa utusaidie bana...
 
mzee SWAGGER KID nimekusoma na ninashukuru umenielewa, sasa nimeshindwa jinsi ya kukupatia email yangu kwa njia ambayo ni hidden, ila hamna shida tumia hii hapa barutansibu@gmail.com kunitumia hiyo software. aisee siamini. nasubiri
 
Ninachojua mimi unaweza ukatengeneza custom XP CD ikawa na programu zako unazozitaka ikiziinstall kabisa tangu mwanzo kama Photoshop, Office etc. Kama hii inaweza kufanya kazi na mafaili kabisa mimi sijui ila nadhani itakua inawezekana, wewe ndio mwenye shida hiyo, chimba mwenyewe huu mgodi. How to Create a Custom Windows XP Installation DVD | eHow.com Ilakama ushauri tu, sioni ni sababu gani inakufanya uwe kwenye XP hadi mwaka huu 2012!
 
Senior Member, nimekuelewa ila nahisi kuna baadhi ya watu hawajakuelewa. unachotaka kufanya kinawezekana 100%, nipe email nikutumie softwware!

Hilo nalo mpaka wa ku-pm hee! Weka hapa watu wajifunze, hiyo software ime itengeneza wewe!:banghead:
 
Back
Top Bottom