Naomba msaada wa kujuzwa simu gani nzuri na imara inayouzwa bei rahisi ambayo ina huduma ya internet.Tafadhari naomba msaada huo maana simu yangu imedondoka jana na kupasuka display hivyo sina internet.
Nokia E-71
nokia x2
ww unataka kusema x2 ndo ipojuu zaid ya e72. Acha hzo bana
Bei ukilinganisha na quality mkuu. Jamaa anataka cm nzuri kwa bei ndogo,hata mm namshauri achukue X2 maana e72 ni bora ila bei mkac. Bt X2 kali afu unaipata kwa 145K tu.
Nokia 6230c, unaweza uka minimize windo, kama ukiwa unatumia lets say opera mini, alafu msg ikaingia, unaweza uka minimize hyo opera, ukasoma msg yako na hta ku reply au hata kupiga sim, au hata kufanya ishu nyingine, then ukimaliza una maximize na kuendelea,
ziko around, 300,000 hadi 350,000
x2 sh ngapi
nimeipenda hii, coz natumia Nokia 2730c. Kwa hiyo nikishafungua Operamini mpaka ni exit ndio naweza soma txt au kupiga sim.
Samsung Galaxy mini.. ni kiboko'
Hiyo Galaxy Mini hata mimi naihitaji inaenda ngapi sokoni?price؟؟
Hiyo Galaxy Mini hata mimi naihitaji inaenda ngapi sokoni?