Msaada wa key ya MSDICT VIEWER V5 (pocket oxford english dictionary) for blackberry

Mringo

JF-Expert Member
Jun 23, 2010
320
100
Jamani mwenye kuweza kunisaidia hiyo key tafadhali nisaidie..nimeidownload nakuinstall ila ni trial for 30 days.

Mubarikiwe sana
 
Ungejaribu kudownload Time stopper, inasimamisha muda wa hizo siku 30. Hata mimi natumia hivyo nina muda mrefu sasa.
 
nitajaribu kiongozi...ila ningepata key ingekua safi sana
 
Back
Top Bottom