wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,930
- 3,314
Jaman wana jf.. nilikuwa na modem ya zantel, wanahuduma nzuri tatizo ni kwamba ukiwa mtongani hupat network, ukiwa sanawari arusha vivyo hvyo.....sasa nimehamia airtel plz naombeni mnipe tips zao za kuweka vocha, kujua salio, na nina vocha ya elfu 10 je ninue kifurushi gani? plz nisaidien hzo tips