Msaada face book

Msaada face book

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,172
Reaction score
14,729
nilipostiwa movie ya ngono ya rihana na m2 naemuheshimu nilipo kuwa siamini nikai click haikufunguka ,ghafla nikawa napata sms za watu wakisema nimewatag nikalog off,leo nimefungua nakuta siwwez siwezi kupost ,inanambia accont yangu ilishambuliwa na malware or virus kwa taarifa zaid nicontact centre yao .nisaidieni naji activate vipi
 
Hahahahahhaa eti ulikuwa huamini...hukuamini nini sasa apo ambacho kilipaswa kuaminiwa..sema tu uliclick kushuhudia jukwaa la mambo ya kikubwa ndo ikawa vile
 
Back
Top Bottom